Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimekubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Cape Verde baada ya kuruhusu mabao hayo katika mchezo wa kundi L na kuifanya ibakie na alama zake 2 ikishuka mpaka nafasi ya mwisho kwenye kundi hilo.
Wakati huo Cape Verde wamepanda juu kwa kufikisha alama 4 kwenye msimamo huo wa kundi L Timu hizo zitarudiana tena Oktoba 16, 2018 kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.
MSIKIE KOCHA WA STARS AKIFUNGUKA HAPA KILICHOTOKEA
===========
Mechi za leo hizi hapa, bashiri na Biko ushinde mkwanja chapchap, bofya hapa ==> BIKO SPORTS
The post KOCHA Stars Akiri Mapungufu, Alichokisema Hiki Hapa – Video appeared first on Global Publishers.

