SERIKALI kupitia Bodi ya Filamu Tanzania leo, Oktoba 26, 2018 imemfungika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na kumtaka asijihusishe na shughuli za filamu kwa muda usiojulikana, ni baada ya picha zake chafu (za mahaba) akiwa na bwana yake kusambaa mtandaoni.
The post Serikali Yamfungia Wema Kujishusiaha na Filamu appeared first on Global Publishers.