NEWS

9 Novemba 2018

LUGOLA: VIUNGO WANAVYOTUMIA MASHOGA VINA KAZI MAALUM – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameingilia kati suala la ampenzi ya jinsia moja ambayo hivi karibuni sakata hilo liliibuka baada ya video vya utupu kusambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha matumzi mabaya ya viungo kinyume na maumbile.

 

“Viungo ambavyo mashoga wanavitumia, vina kazi maalum kwa mujibu wa uumbaji wa Mwenmyezi Mungu, Serikali yetu kamwe haitaruhusu mtu yeyote kubadili matumizi ya viungo ambavyo ni kwa ajili ya haja vitumike kwenye kazi ambayo Mungu hakukusudia.

 

“Sheria zipo na ziko wazi, kwa hiyo Serikali haijajichanganya kuhusu jambo hilo, Tanzania ni Hekalu la Roho Mtakatifu, hatuwezi kurusu yakafanyika mambo machafu,” alisema Lugola.

VIDEO: MSIKIE LUGOLA AKIFUNGUKA HAPA

The post LUGOLA: VIUNGO WANAVYOTUMIA MASHOGA VINA KAZI MAALUM – VIDEO appeared first on Global Publishers.