Leo Desemba 15, 2018, Serikali kupitia wizara ya Maliasili na Utalii inazindua Channel ya Utalii inayoitwa ‘TANZANIA SAFARI CHANNEL’. Uzinduzin huo unafanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam, katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania TBC1. The post LIVE: Uzinduzi wa Channel ya Utalii ‘Tanzania Safari Channel’ appeared first on Global Publishers.