NEWS

15 Desemba 2018

VIDEO: Mti Unaowaka Moto Bila Kuzima sasa Unatoa Nyuki Wanakimbiza Watu

Mti wa maajabu ambao ulizimwa kwa mara tatu bila kuzimika baada ya kuzuka kwa moto Mkoani Kilimanjaro leo Dcember 14, 2018 umeendelea kuzua taharuki ambapo wakati unakatwa Nyuki walitoka nakuanza kuwafukuza watu waliokuwa eneo hilo.

VIDEO: