NEWS

3 Aprili 2019

Hiki Hapa Kikosi cha Simba Kitakachominyana na JKT Tanzania

Hiki Hapa Kikosi cha Simba Kitakachominyana na JKT Tanzania
Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Jamhuri.



1. Deogratius Munish
2. Nicolas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Yusuf Mlipili
5. Juuko Murshid
6. Said Ndemla
7. Hassan Dilunga
8. Jonas Mkude
9. Adam Salamba
10. John Bocco
11. Clatous Chama

Wachezaji wa Akiba

1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Paul Bukaba
4. James Kotei
5. Rashid Juma
6. Meddie Kagere
7. Emmanuel Okwi