NEWS

3 Aprili 2019

JOHN BOCCO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU

Mshambuliaji wa timu ya Simba SC ya Dar es Salaam, John Bocco.

Mshambuliaji wa timu ya Simba SC ya Dar es Salaam, John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Bocco ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Donald Ngoma wa Azam FC na Jaffari Kibaya wa Mtibwa Sugar SC alioingia nao fainali

The post JOHN BOCCO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA LIGI KUU appeared first on Global Publishers.