NEWS

3 Aprili 2019

Piere Liquid Atinga Bungeni Dodoma Akutana na Spika

Mchekeshaji Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid  jana amefika bungeni  na kutana na Spika wa Bunge, Job Ndugai,  Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.

Mchekeshaji Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid akisalimiana na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katikati ni Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai.

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Pierre Liquid.

…Wakiongea jambo.

Pierre Liquid akionyesha makali yake kwa kumtaja Spika wa BungeJob Ndugai na Rais Magufuli kuwa wapo juu.

PICHA NA BUNGE DODOMA

The post Piere Liquid Atinga Bungeni Dodoma Akutana na Spika appeared first on Global Publishers.