NEWS

3 Mei 2019

Zari Atua Dar Apokewa kwa Shangwe

zari2
Mwanadada Zari the Boss Lady ambaye mzazi mwenzake mwanamuziki daimond platinum ametua leo nchini kwaajili ya kufanya show hapo Kesho.

Zari ambaye amebahatika kupendwa na wabongo wengi amepokelewa kwa shangwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere huku akipewa ulinzi na bordgad wa Zamani wa daimond