NEWS

17 Novemba 2019

Jack Wolper "Naona Watu Wengi Wanamsifia Raisi tu Wanaacha Kuongea Matatizo yetu


"Naona watu wengi wanamsifia Raisi tu wanaacha kuongea matatizo yetu, unajua sisi tuna matatizo mengi tuna Changamoto nyingi lakini naona kusifia sifia tu, sijajua kwa nini imekuwa hivyo, ukipata nafasi ongea nyumbulika ongea matatizo sio unasifia tu"-Jack Wolper.