NEWS

17 Novemba 2019

Mwanamke Aingia Kwenye Sherehe ya HARUSI Yake Akiwa Ndani ya Jeneza

Pichani mdada huyo video yake ime-trend ikimuonesha akiingia Kwenye reception ya harusi yake akiwa ndani ya jeneza. Jeneza hilo jeupe lilikuwa limezibwa na kitambaa cheusi Kisha kufunuliwa Kwa mbwembwe ukumbini kwa wageni waalikwa wa Harusi hiyo ambapo mdada huyo aliinuka ndani ya jeneza hilo akiangua kicheko cha haja Kisha kuanza kucheza muziki akiwa Kwenye jeneza Kama anavyooneka pichani

Details zaidi za Harusi hiyo hazikuanikwa ikiwemo mdada huyo Ni wa wapi, lakini si Mara ya kwanza kwani mwaka 2018 Jenny Buckleff mwanamke wa miaka 58 nae aliingia Kwenye Harusi yake akiwa ndani ya jeneza ambapo alipoulizwa aliamua tu kuwa tofauti na wengine