Kupitia interview yake aliyoiweka kwenye App yake ya *WemaApp @wemasepetu ametuambia kuwa Marehemu ➡Kanumba alishawahi kumtamkia maneno ya kutopata mtoto na mwanaume mwengine yeyote hii ni baada ya kutoa mimba zake mbili
Wema Sepetu amesema “Wewe Mwanamke nakudai, nakudai watoto wangu wewe, hutoweza kuja kupata mtoto na Mwanaume mwingine yeyote yule,”