Fahamu: Inaelezwa katika mahusiano usiwe mkweli kwa asilimia 100% na kama umeamua kuwa mkweli sana ishia 99% la sivyo unaweza kusambaratisha penzi lako ukiwa mkweli sana ikielezwa watu wengine hawajazoea kuambiwa ukweli hata umwambie ukweli kwa nia njema sababu unampenda yeye ataona ni uongo au wewe sio mwaminifu. Hivyo mengine baki nayo moyoni mwako usimwambie mpenzi wako
