NEWS

1 Machi 2020

Rwakatare "Kuna Wanaume wamesoma wana madegree lakini hataki kuoa, unaponea wapi mwenzetu?"

"Kuna Wanaume wamesoma wana madegree lakini hataki kuoa, unaponea wapi mwenzetu?, kumbe ana Sugar Mamy analelewa, Marioo, amepewa gari, hataki majukumu, hata kama Mtu ana kazi anapenda ulaini mahali ambapo ataitwa baby una hela? chukua hela, umarioo unasumbua"-Mchungaji Rwakatare