NEWS

26 Mei 2020

IrenePaul Aonyesha Mapenzi ya Wazi Wazi Kwa Mwanamuziki Chidi Benzi

IrenePaul:- "Mimi Shabiki Wako, Nafwatilia Sana Mziki Wako, Nakupenda Sana ChidBenz Wewe Unajua"

Ni Maneno ya IrenePaul Star wa Bongomovie Katika Interview Yake Yake ya Pamoja na Satr Bongofleva ChidBenz.