Mwanamke Lucia Lukenya Mahiunya (24) anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Shinyanga kwa mauaji ya mtoto wake kichanga.
Mahiunya ambaye ni mkazi wa kitongoji cha Wizunza wilayani kishapu anatuhumiwa kumuua mtoto huyo ambaye ana siku mbili baada ya kujifungia.
Mwanamke huyo baada ya kufanya tukio hilo alikwenda kumzika mwenye.
