Wana swaga za kishamba na njaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundation au NGOs wanajiabisha kwakweli. Swagga hizo wakawale wengine lakini sio hapa mjini Dar es Salaama, wamefeli wabadilike.