Rais wa Manzese @madeeali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu
Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL cha *CloudsFm. Nikimnukuu Madee "Siamini kwenye ubaguzi wa rangi, hata yule jamaa aliyekatishwa uhai wake Marekani inawezekana alikuwa Mhalifu".
3 Juni 2020
Home
Udaku
Mwanamuziki Madee Agoma KUHUSU Ubaguzi wa Rangi Marekani..Huenda Mtu Mweusi Aliyeuawa Kwa Goti Alikuwa Mhalifu
