NEWS

1 Machi 2021

Tigo Wapanda Miti 1000 Wilayani Hai

“Ni fahari na furaha kwangu kushiriki kuzindua kampeni hii ya #TigoGreenForKili ya upandaji miti 10,000 katika wilaya hii ya Hai kama sehemu ya mkakati wa kupanda miti 28,000 ili kurejesha theruji na hadhiya mlima wa kilimanjaro “

Mh. Anna Mghwira - Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

“TUNASHUKURU sana @tigo_tanzania kwa kutuamini sisi kutunza miti hii 10,000 ambayo tutahusika kusimamia upandaji na utunzaje wake katika wilaya hii ya Hai.”

Asifiwe James - Mkurugenzi @voewofo

MITI YETU NI UHAI WETU na kwamba mahitaji mengi muhimu katika maisha yetu ya kila siku yanategemea miti kwa njia moja au nyingine”

Henry Kinabo - Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini

Meneja wa Tigo kanda ya kaskazini Saidi Iddi akipanda mti wa #TigoGreenForKili kuunga mkono mkakati wa Tigo na wadau wake kurejesha mazingira rafiki pembezoni mwa Mlima Kilimanjaro ili kurejesha theruji ya Mlima huo iliyopo hatarini kutoweka kufikia mwaka 2033

Wafanyakazi wa @tigo_tanzania wakishirIki upandaji wa miti ya #TigoGreenForKili katika kuunga mkono mkakati wa kupanda miti 28,000 ili kurejesha theluji ya Mlima Kilimanjaro iliyoathiriwa kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na shughuli za kibinadamu.