Ofisi ya Rais TAMISEMI,inapenda kuwatangazia Umma kuwa,imekamilisha mchakato wa kuchambua maombi ya ajira ya Elimu na Afya iliyotangazwa tarehe 09/05/2021 Kuona Orodha ya Walimu <<Bofya hapa>> Kuona Orodha ya Kada ya Afya <<Bofya hapa >>