Siku ya jana, Team ya MarcoChali Foundation inayoendeleza mchakato wa kuibua vijaji kupitia EPIC OPEN MIC ilikutanisha washindi wa kwanza … wakiwemo wanaoimba na wanaochana pia … walikutana studion a kufanya CIPHER yao ya kwanza kwa pamoja …Check out baadhi ya picha katika CIPHER hiyo ;Hapa Michano tuHapa Michano tuHapa Michano tuMshiriki akiwa na Marco Chali (right) …