Balozi Liberata Mulamula ametoa kauli ya kuwaunganisha watanzania wote na hatoruhusu tofauti wala makundi katika jamii ya kitanzania.