Mwanamitindo na video model wa Tanzania, Jackie Cliff sio tena Boss Lady. Halitaki jina hilo kwasababu anahisi wasichana wanaojiita hivyo wamekuwa wengi.Hizi ndo sababu zake: