Wananchi wa Burundi huenda wakawa wa kwanza kuisikia Tupogo ya Ommy Dimpoz live. Hitmaker huyo kutoka Tanzania anatarajiwa kutumbuiza nchini humo kwenye sikukuu ya Eid mwanzoni mwa mwezi ujao. Tazama poster hiyo kufahamu zaidi.
31 Julai 2013
Ommy Dimpoz kutumbuiza nchini Burundi kwenye sikukuu ya Eid
Tags
# Advertisement
# News
# Ommy Dimpoz
About Mrs News Tanzania
Ommy Dimpoz
Category:
Advertisement,
News,
Ommy Dimpoz