NEWS

18 Julai 2013

Picha Jay Z akiwa kambeba Mtoto wake Blue Ivy Pembeni akionekana Beyonce Mjini Toronto



Like a Daughter  like a Father! Picha jay Z akiwa kambeba Mwanawe Pindi walivyokuwa wanatoka Lunch mjini Toronto hivi Karibuni,Hii imewavutia mashabiki wao wengi baada ya kumuona Jay Z akiwa kambeba mwawe uku mama mtu Beyonce akitangulia ,kwenye gari yao.


FAMILY AFFAIR photo | Beyonce Knowles, Jay-Z

Hta ivyo mastaa hawa wamewafuraisha watu wengi mafans wao kwa kile walichokisema ni wakati wa jay na beyonce kuenjoy na Blue Ivy na Kumpa Love na Care.