NEWS

16 Julai 2013

Picha: Kwenye Msiba wa Marehemu Mama yake Profess Jay! Wasanii wengi wajitokeza












Mwanamuziki Joseph Haule 'Profesa Jay' akiweka shada la maua katika kaburi ya marehemu mama yake, Bi. Rosemary E. Majanjara.