Hivi Karibuni mwanamke tajiri Oprah Winfrey alitembelea mbuga zetu za wanyama kwa muda usiopungua wiki moja hadi kurudi kwake Marekani.
Oprah ali-share picha zikionyesha jinsi likizo yake ilivyokuwa huko mbugani serengiti akiwa na mume wake Stedman.
About Mrs News Tanzania