Baada ya kutamba na muziki gani aliyomshirikisha Diamond Platinumz, Nay true boy anaachia ngoma mpya itakayoitwa salaam zao akishirikiana na Neyba.Nay wa mitego anatarajia kuachia ngoma hiyo siku ya jumatano.