Single ya pili ya Vanessa Mdee inaitwa Monifere na amewashirikisha rapper wa B’Hits, Gosby na muimbaji wa Wakacha, Jux. Vanessa aka Vee ameshare kava la ngoma hiyo iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa Hermy B, Pancho na Randy.
15 Agosti 2013
Hii Ndio kava mpya ya Singo ya Vanessa Mdee ‘Monifere’ f/ Gosby na Jux
Tags
# News
# Vanessa Mdee
About Mrs News Tanzania
Vanessa Mdee
Category:
News,
Vanessa Mdee