Hatimaye timu ya Liverpool leo imefanikiwa kuifunga timu ya Man United goli moja, Goli hilo limefungwa na Daniel Sturridge mapema kabisa kunako dakika ya nne tu ya mchezo.