NEWS

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sports. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sports. Onyesha machapisho yote

14 Septemba 2014

Hivi ndivyo Myweather alivyomdunda Madina kwa mara ya pili bila huruma

13:08
Floyd Mayweather Jr. amemdunda kwa mara nyingine tena bondia wa Argentina, Marcos Maidana katika pambano lililofanyika Alfajiri ya leo jiji...
Read More

30 Agosti 2014

Yanga yamshitaki Okwi baada ya kuingia mkataba na timu nyingine 'Pata Michapo'

10:52
Klabu ya Young Africans imemshitaki mchezaji Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kuwasilisha nakala kwa shirikisho la sok...
Read More

21 Juni 2014

Hii ndio ratiba kamili ya kombe la dunia kwa masaa ya kibongo

08:18
Ikiwa ni masaa tu yamesalia ili Dunia iweze kushuhudia mashindano makubwa kuliko yote ya mpira wa miguu duniani (World Cup)yatakayofanyika ...
Read More

FC Barcelona yamuweka rehani Sanchez na kitita cha kutosha kwa ajili ya Luis Suarez

07:36
Baada ya kukata ngembe za waingereza usiku wa kuamki hii leo huko nchini Barzil, FC Barcelona wametangaza kumuwekea dau la paund million 52 ...
Read More

20 Juni 2014

Kocha wa Hispania akubali lawama baada ya kutolewa mapema kwenye fainali za kombe la dunia

08:34
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Hispania Vicente del Bosque amesema hana njia ya mkato ya kusema samahani kwa mashabiki wa soka wa nchi hiyo ...
Read More

19 Juni 2014

Hawa ndio wachezaji 26 wa Taifa Stars watakaokwenda Gaborone

15:16
Wachezaji 26 wa Taifa Stars wanaingia kambini Jumatatu (Juni 23 mwaka huu) kwa ajili ya safari ya Gaborone, Botswana. Kwa mujibu wa Kocha Ms...
Read More

Kombe la Dunia: Timu zilizowazuia wachezaji wao kufanya mapenzi na zilizowaruhusu

12:44
Kama uliwahi kuwa karibu na wachezaji wa timu yoyote kuanzia daraja la tatu hata hapa Bongo utakuwa umewahi kusikia makocha wakiwasihi wache...
Read More

18 Juni 2014

Mexico yatoka sare tasa na Brazil, 0-0

07:45
Wenyeji  wa Kombe la Dunia 2014, Brazil wametoka suluhu na Mexico katika mechi yao ya pili ya kundi A. Brazil na Mexico wote kwa sasa wana p...
Read More

17 Juni 2014

Maamuzi mazito yaliyofikiwa na kamati ya Simba

17:23
kamati ya uchaguzi ya klabu ya simba ilifanya mkutano wake wa kawaida jana june 15 mwaka huu kujadili mambo mbalimbali ambayo yanahusu uchag...
Read More

Serengeti Boys Kucheza Azam Complex

16:23
Mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kati ya Tanzania (Serengeti Boys) na Afrika ...
Read More

14 Juni 2014

Kombe la Dunia: Uholanzi yaifunga Hispania mabao 5-1, Van Persie na Robben wang’ara

12:11
Mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania wamerudishwa darasani na Waholanzi waliokuwa na hasira ya kulipiza kisasi cha kufungwa kwenye ...
Read More

13 Juni 2014

Picha: Pitbull na Jennifer Lopez wapamba sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia 2014, Brazil

06:14
Maelfu ya mashabiki wamejitokeza jioni ya jana kwa saa za Brazil (June 12) katika sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia 2014 kwen...
Read More

29 Mei 2014

Ghasia zaidi kupinga kombe la dunia

09:07
Polisi nchini Brazil wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji katika mji mkuu Brasilia wanaopinga kuandaliwa kwa kombe la du...
Read More

Picha: Wabrazil awataki Kombe la Dunia kufanyika nchini kwao

08:48
Baadhi ya waandamanji walipura mawe na kuchoma magurudumu ya magari na kufunga mabarabara ya miji wakidai serikali haikuzingatia matakwa ya ...
Read More

21 Mei 2014

Baada ya Ryan Giggs kuwa kocha msaidizi, Louis Van Gaal ateuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Man United

03:13
Klabu ya Manchester United imemteua Louis van Gaal kuwa kocha mkuu mpya kwa mkataba wa miaka mitatu kufuatia kufukuzwa kazi kwa David Moyes ...
Read More

17 Mei 2014

Donald Sterling akataa kulipa fidia ya $2.5 milion kwa kosa la ubaguzi wa rangi, atishia kuishitaki NBA

08:38
Donald Sterling ambaye ni mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya Clippers amekataa kulipa fidia iliyoamriwa na NBA kwa kosa la kufanya ubaguz...
Read More

12 Mei 2014

Rais wa FIFA Sepp Blatter atangaza kugombea tena mwakani

05:27
Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Sepp Blatter ametangaza kwamba atatetea nafasi yake kwenye uchaguzi ujao mwakani. Blatter al...
Read More

Manchester City ndio mabingwa wa EPL Msimu huu wa 2013/2014

05:24
Baada ya upinzani wa kusisimua katika msimu huu wa 2013/2014, msimu ambao Liverpool wataujutia kwa kuukosa ubingwa baada kuteleza dakika za ...
Read More

1 Mei 2014

Katibu Mkuu wa FIFA kutua Tanzania

08:44
Semina ya mawasiliano ya CECAFA inatarai kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa FIFA Jerome Valcke, ambaye atawasili nchini kesho Mei 1, 2014 Katibu ...
Read More

Mmiliki wa timu ya L.A Clippers, Donald Sterling afungiwa maisha kushiriki NBA

06:02
Mmiliki wa timu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling amepigwa marufuku na chama cha mchezo huo, NBA katika maisha yak...
Read More