
Katika party iliyofanyika ndani ya Maisha Club siku ya Ijumaa tarehe 25/10/2013 iliyofahamika kama Grand Launch of Bavaria 8.6 Black Beer, mara baada ya kupiga show ya nguvu Ommy Dimpoz aliupandisha uongozi wa Bavaria uliopo pale wakati ule na kwa heshima kabisa mmoja wa viongozi hao alimtambulisha Ommy kuwa ndiye Balozi wa kinywaji hicho.



.jpg)