Grace Matata aka Soul Lady atakuwa na show maalum kesho Jumamosi pale Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam, iliyopewa jina ‘Grace Matata Live’.