Video ya wimbo wa Roma Mkatoliki, 2030 inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki inatarajiwa kutoka Novemba 1 mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa muongozaji na mtayarishaji wa video hiyo, Nisher.