Hemedy amesema kwenye video hiyo itakayotoka December amemshirikisha Bella Combo.
“Thank god for the love and blessingz…its been a long run for the year 2013..still alive to this moment and stil presenting..im excited to release my new video ‘ one&only ‘ in this coming december…#love”aliandika PHD kwenye Instagram
Hivi karibuni tu Hemedy aliachia video ya wimbo wake mwingine ‘Rest of my life’ ambayo alimshirikisha Mr Blue.
