Kama ulikuwa aujui Diamond kwa sasa yupo nchini Nigeria 'Lagos' Akimalizia mzigo wake na Davido na Soon Utakuwa uko tayari ..so hizi ni picha kadhaa ambazo Diamond ameamua kushare via instagram ..amabazo zinaonyesha akiwa katika lication tofauttofauti nchini lagos
14 Novemba 2013
PICHA 5 ULIZOZIMISS KUTOKA INTAGRAM DIAMOND IN LAGOS
Tags
# Diamond Platnumz
# Photos
About Mrs News Tanzania
Photos
Category:
Diamond Platnumz,
Photos




