Sababu za Mauaji hayo inasemekana ni Kisasi cha Mapenzi baada ya Muuaji Anayejulikana kwa Jina la Gabriel Munnis Kuachwa na Mchumba wake wa Muda mrefu (Christina) ambae pia alimsomesha.