Unaambiwa Tayari Album ya Beyonce inayouzwa kupitia mtandao wa iTunes imeshanunulia kwa zaidi ya 550,000 nchini Marekani tangu Jumamosi usiku. Santuri hiyo inaweza kuuza hadi kopi 600,000 hadi kufikia leo asubuhi.
Album hiyo yenye nyimbo 14 na video 17 inauzwa kwa $15.99.
“Beyonce” tayari ni album iliyouza zaidi katika wiki ya kwanza kwa msanii wa kike tangu ile Taylor Swift, Red iliyouza kopi milioni 1.2.
