Star maarufu wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha yupo location maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es salaam akishuti filamu yake mpya huku akiwa amemshirikisha Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini. Katika filamu hiyo mpya pia yupo Jenifer aliyetamba na marehemu Kanumba katika filamu za Uncle JJ na This Is It. Pia yupo mchekeshaji maarufu Senga ambaye anaonekana kudatishwa na wowowo la Agnes Masogange kama anavyoonekana katika hapo chini.....
31 Desemba 2013
Home
Agness Masogange
Behind the Scene
BEHIND THE SCENES: AGNES MASOGANGE, JENIFER KATIKA FILAMU MPYA, WOWOWO LA MASOGANGE LAMDATISHA SENGA.
BEHIND THE SCENES: AGNES MASOGANGE, JENIFER KATIKA FILAMU MPYA, WOWOWO LA MASOGANGE LAMDATISHA SENGA.
Tags
# Agness Masogange
# Behind the Scene
About Mrs News Tanzania
Behind the Scene
Category:
Agness Masogange,
Behind the Scene