Sikiliza hapa wimbo mpya kutoka kwa msanii wa miondoko ya Pop na R&B Justin Bieber akimshirikisha rapper kutoka YMCMB Lil Wayne ngoma inaitwa “Back Pack”