Sikiliza hapa wimbo mpya kutoka kwa Rapper Mase ambaye mbali na kuimba pia ni mchungaji wa kilokole, ameachia ngoma inaitwa ‘Why Can’t We’ ambao upo kwenye album yake mpya iitwayo ‘Now We Even,’ ambayo haijulikani itatoka lini.