Hivi karibuni tulikuletea habari wamba Hemedy Pfd Amepata Shavu la kwenda kufanya Movie na Wazambia, Movie iliyoitwa 'Tangled Mess" Sasa ni muda wa kupatakufahamu ata kwa sekeunde chache kupitia Trailer ya Filamu hiiTazama Hapa Chini