NEWS

28 Desemba 2013

New Music: Leo Mysterio – Sielewi (Skelewu Remix)

Sikiliza hapa ngoma ya msanii Leo Mysterio iitwayo Sielewi, ikiwa na remix version ya kiswahili ya Skelewu. Ngoma hii ya Sielewi imetumia beat ya wimbo wa Skelewu wa msanii wa Nigeria Davido uitwao Skelewu …