Nawaletea kwenu Ngoma Mpya kutoka kwa Tunda man ft Ally Kiba ..Wimbo unaitwa Msambinungwa ..chukua muda wako wa kuusikiliza na kujua safari hii Tunda Man Amekuja na Kitu gani..