Nay ametoa taarifa hiyo jana kupitia Instagram.
“Thanx God kwa nilichoingiza na kupata mwaka huu 2013, shukrani kwa mashabiki kwa surpot mnayonipa. Hakuna #nay bila nyie #mashabiki wangu.. mwaka huu 2013 nimepata hatua kadhaa kwny mziki wng. Nimeamua kula na kugawana na watoto yatima na wacojiweza kigogo nilichokipata..#966 kuanzia ijumaa nitaanza kuwatembelea baadhi ya vi2o km vita2 vya dar na mkoani.. thnx god kwa iki kidogo,” aliandika Nay.
