NEWS

3 Desemba 2013

PICHA: AJALI, BASI LA URAFIKI LAPATA AJALI NA KUANGUKA



Wakazi wa kijiji cha Ndolela Tarafa ya Isimani wilaya Iringa vijijini wakiangalia ajaLi ya Basi la abiria la Urafiki  T 594 ABM lililoanguka kijijini hapo jana likitokea Iringa kuelekea Dodoma. 

Via : MjengwaBlog