Hizi ni picha ambazo Diamond alishare kupitia Blog yake.
Licha ya Diamond kula nao chakula cha mchana watoto hao waishio katika mazingira magumu pia alipata nafasi ya kuwaonyesha kwa mara ya kwaza remix ya "MY NUMBER 1" Aliyofanya na Davido Msanii Kutoka Nigeria.
Hapa Diamond Plutnumz Akisain Kitabu cha wageni kabla ajaondoka katika kituo hicho cha kulelea watoto yatima.