NEWS

10 Desemba 2013

PICHA: KILICHOJIRI KATIKA SWAHILI FASHION WEEK 2013 - DAY 1

Jana Jumapili (December 8) maonesho ya mitindo ya ‘Swahili Fashion Week 2013’ yaliyodumu kwa siku tatu yalihitimishwa katika hoteli ya Golden Tulip, jijini Dar es salaam ambapo wabunifu mbalimbali kutoka Tanzania na Nchi za Jirani walipata Nafasi ya kuweza kuonyesha mavazi na Ubunifu wao