Yobnesh Yussuph aka Batulli na Skyner Ali ni waigizaji warembo wa filamu nchini. Kuna vingi wanavyofanana kuanzia wote kuwa mama watoto na vitu vingine. Tumekuletea Picha Hizi Hili Tuweze kupata maoni yak nani kapendeza na mrembo kuliko mwezake, BatulliSkyner Ali Image Via: Instagram