Zillax itatolewa kwenye maganda yake katika siku hiyo spesho kwa rapper huyo, kwani ndo siku aliyozaliwa.Ikiwa na nyimbo 17, Zillax itakuwa yako halali kwa ‘buku 5 tu’.
Kama Kweli Unasupport Harakati wanazofanya Wanamuziki wa Bongo-Tanzania kama King Zilla, Zizi au vyovyote unavyopenda kumuita huu ni muda wako wa kupewa zawadi yao January 5 mwaka. Golden Jacob aka Godzilla anatajia kukinusha mtaani wiki chache tu zijazo kwa kuachia mixtape yake mpya aliyoipa jina ‘Zillax’.
